Skip to main content

HOFU YA EBOLA NCHINI KENYA

 Kufuatia kudhibitishwa kuwepo kwa virusi vya Ebola nchini Uganda mnamo tarehe 19 mwezi wa tisa 2022 , wizara ya afya nchini humo sasa yawataka waadhiriwa licha ya kupokea matibabu, kuepuka tendo la ndoa angalau kwa siku tisini.


Haya yanajiri baada ya kubainika kwamba virusi hivi bado vinaenea hata baada ya muadhiriwa kupokea matibabu hivyo basi kusambazwa sio kwa njia ya mate na damu pekee ila wanasayansi sasa wanabaini kuna uwezekano wa virusi hivyo kupatikana kwenye manii (semen) ya mwanaume hata baada ya kupata matibabu dhabiti. Haya yaanjiri baada ya watu 36 kudaiwa kupatikana na virusi hivyo huku wengine 23 kudaiwa kufariki kutokana na makali ya virusi hivyo kulingana na takwimu za serikali ya Uganda.



Wizara ya afya nchini Kenya yaonyesha hofu ya virusi hivyo vya Ebola kukurupuka nchini na kuzitaja kaunti 20 zilizo kwenye hatari zikiwemo :Busia, Machakos, Nakuru, Kiambu, Nairobi, Kajiado, Makueni, Taita Taveta, Mombasa, Kwale, Kericho,Bungoma, Trans Nzoia, West Pokot, Turkana na Uasin Gishu.




Comments

  1. Habari Safi Sana.Wakenya tujitahadhari Kwa kweli.

    ReplyDelete
  2. Kazj nzuri hakika habari iliyoingiza taradadi miongoni mwetu.

    ReplyDelete
  3. Ripoti nzuri.
    Serikali yafaa iweke mikakati ya kupunguza kuenea kwa virusi hii hasa kwenye mipaka ya Kenya na Uganda.

    ReplyDelete
  4. Hii Ni Mojawapo Ya Tahadhari na Taharuki Ambayo Tayari Ishanitia Woga Serikali Izingatie Kwa Sana Mambo Yanayofaa

    ReplyDelete
  5. Lit mkuu🔥🔥🔥🔥

    ReplyDelete
  6. Walahe wakenya tujihadhari mapema

    ReplyDelete
  7. Tujitahadhari kabla ya hatari.
    Kazi safi kaka

    ReplyDelete
  8. Kazi Nzury kijana

    ReplyDelete
  9. Tunfahamika... Kazi nzuri kaka🔥🔥👏

    ReplyDelete
  10. Tamu kama kitu ingine

    ReplyDelete
  11. Great work brother👍

    ReplyDelete
  12. Kazi nzuri iliyo lainika kwelikweli ✨

    ReplyDelete
  13. Keep it up bro all the best manh

    ReplyDelete
  14. Good information

    ReplyDelete
  15. Kazi safi,, keep up the good work

    ReplyDelete
  16. Thanks for the update

    ReplyDelete
  17. Kazi safi Ila kuna makosa ya hijai 😂

    ReplyDelete
  18. Habari nzuri sana

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

How to deal with baneful relationships

Relationships are always interesting and fun when they are smooth and it feels very interested when your partner is also your friend. However, if relationship starts becoming toxic between partners and still percevere, it brings an image of slavery and many find it difficult to cope and end in engaiging in acticities that put them into regrets afterwards. No one wants to find themselves in relationships that are full of quarrels, misunderstandings and traumatizing. However, they rather get out of such relationships when it is too late. When someone finds it difficult in relationship especially for the campus students, their natural reaction in such is to avoid dealing with situation. However its good to know how to deal with such toxic relationships  Bellow are some of the reasons why campus students find rough times in their toxic relationships and still tolerate : 1.Viewing toxity as normal Most people get themselves in abusive relationships and not able to know how to cope with ...

Mabadiliko ya tabia nchi na athari zake

  Tabia ya nchi ni mwenendo wa hali ya hewa yakiwemo majira, wastani na vizio vya juu na chini kabisa vya joto, utokeaji na mtawanyiko wa mawingu, mvua na theluji, majanga yanayosababishwa na hali ya hewa kama vile upepo mkali na kuanguka kwa theluji, na vimbunga vikali vya nchi kavu na baharini. Tabia ya nchi duniani inabadilika kwa sababu ya kile kinachojulikana kama ‘athari zilizoongezwa nguvu za miali ya jua’. Image Courtesy of google Uhai unawezekana Duniani kwa sababu ya nishati ya jua ambayo hufika katika umbo la mwanga. Dunia huakisi sehemu ya mwanga huu ambao hatimaye hupotelea angani. Hata hivyo, gesi zilizoko kwenye anga hupunguza kasi ya kupotea huku kwa mwanga. Kwa pamoja, gesi hizi hujulikana kama ‘gesi za kuzuia miali ya jua’, kwa Kiingereza, ‘greenhouse gases’, kwani kazi yake ni kuzuia joto lisipotee Duniani. Hii ni kama inavyoonekana katika nyumba maalumu zilizofunikwa kwa nailoni wanazotumia wakulima ili kuotesha mbogamboga. Kiasi fulani cha gesi hizi ni muhimu i...

UCHUMI WA WANAMOMBASA BANDARINI

 Halmashauri ya bandari nchini KPA ni moja wapo ya Mashirika ya serikali yanayotoa fursa nyingi za ajira Kwa wafanyikazi wa umma na wa sekta binafsi kushamiri katika taaluma na idara mbalimbali kujipatia riziki. Wanaonufaika pakubwa wakiwa wakaazi wa Kaunti ya Mombasa ambao rasilimali hii iko katika gatuzi Lao.Miongoni mwa biashara zinazodhamiri katika Kaunti ya Mombasa kutokana na uwepo wa banadari ni pamoja na biashara za kupokea mizigo bandarini na kuisafirisha, ile ya magari za kusafirisha mizigo, biashara za hoteli na zingine ndogo ndogo. (Photo courtesy of KPA website) Lakini awali agizo la kuhamishwa Kwa baadhi ya Huduma muhimu za halmashauri hiyo Hadi katika bandari ya nchi Kavu eneo la Naivasha Kaunti ya Nakuru liliwatatiza maelfu ya wafanyikazi kazi wa sekta binafsi hususan madereva wa malori wa kampuni binafsi ambao hutegemea pakubwa kujipatia mapato kupitia kipato kutokana na shughuli ya usafirishaji wa makasha ya mizigo kutoka bandari hiyo Hadi Mataifa mengine...